Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
hahaha una roho za kichawi sana aiseeπππHii nishaiwasilisha kunakohusika! will be shocked to hear of cancellation for this tender soon
hahaha una roho za kichawi sana aiseeπππ
heheheh sasa unalia nn bus linafanana na gari za militaryππππKwa kweli kenya tunahitaji revolution tutoe hawa mafisadi nje, aki yanani nimechoka na ufisadi kenua
SGR mchina kawajengea ya miaka 50 iliopita na bus pia ni zile zimetumika 70sπππππHizo basi za enzi za ukombozi wa afrika Leo Kenya ndio wanaona ni fasheni mpya!?
Hahaaaaa middle economy power!!
hehehe alipoteza pesa za wakenya kuchora maandishi ya only BRT alijua BRT ni kama kula bajiaππnaona hapa ni makosa ya transport minister james macharia...ndiye aliyeleta ile idea ya kupaka thika road rangi ya lipstick na kuandika only BRT...hahahaha huyu jamaa ni useless sana aisee
Umekula ugali gani leo? inasikitisha sana kuona Kenyans mnajua USA wamekula nini for lunch lakini hamjuwi Tanzania kuna nini. Kwani hamnunuwi tour vans kutokana Tanzania???hakuna hata mtanzania mmoja anafaa kuingilia Kenya hapa... hii mada wanaofaa kuiongelea ni wakenya pekee!
Watanzania mna import BRT kutoka Kenya, Kabla hapo, mli import kutoka China, hakuna gazeti lenu hata moja ambalo liliongelea vile chini ya JPM, Tz ya 'viwanda' ilikosa oportunity ya kuunda hizo BRT ndani ya Tz.....
Sasa unakuja kuingilia BRT inayotengenezwa Kenya wakati tanzania haina hata kiwanda cha kutengeneza gari za kawaida ....
πππππnimecheka sana aiseeHata hivyo... Hawa jamaa sijui walirogwa na nani... hivi ndo walifanya na ile ferry. Uganda ilinunua ferry tatu zilizotengezwa na SECO pale Mombasa. Alafu Kenya ikanunua ferry kutoka Spain. .. WTF! Hakuna nchi 'developed' ilifika huko kwa kuto tumia bidhaa zake mwenyewe...
Umekula ugali gani leo? inasikitisha sana kuona Kenyans mnajua USA wamekula nini for lunch lakini hamjuwi Tanzania kuna nini. Kwani hamnunuei tour vans kutokana Tanzania???
Kenya tour operators wana hayo majibu, kawaulize.Toa uboya hapa. Tangu lini Kenya ikanunua tour vans kutoka Tanzania?
Sasa ni Kenya tour operators wamesema ama ni wewe? Wabongo mnafikirianga kama ng'ombe saa zingine.Kenya tour operators wana hayo majibu, kawaulize.
Kazi kwako Ku-research ili kupata ukweli, kama ukipata majibu tofauti yatumie hayo majibu kunipinga.Sasa ni Kenya tour operators wamesema ama ni wewe? Wabongo mnafikirianga kama ng'ombe saa zingine.
Next time post factual things. Avoid fishing gibberish from your ass and posting it here.Kazi kwako Ku-research ili kupata ukweli, kama ukipata majibu tofauti yatumie hayo majibu kunipinga.
acha matusi na hasiraππππ±Next time post factual things. Avoid fishing gibberish from your ass and posting it here.
jamaa anazungumza ni kama aliongea na tour operators wote wa Kenya au ndiye spokesman wa kenya tour operatorsπππ...hawa jamaa ni wavivu wa kufanya researchSasa ni Kenya tour operators wamesema ama ni wewe? Wabongo mnafikirianga kama ng'ombe saa zingine.
wah! I hope those are not the buses being procured...they are a little ugly...are those ones the ones being assembled here in Kenya?This is not a BRT bus. This is an ordinary high capacity bus by City Shuttle. The BRT buses are yet to come in. However I am disappointed Tanzania is importing buses from Kenya while Kenya is importing buses from SA. Doesn't make sense at all.
Here are more of the City Shuttle high capacity buses.
Jamaa anakuja na statement haimake sense ukimuuliza aprove anakwambia nenda katafute proof. Yaani unaongea tu ujinga bila kupiga research.πππjamaa anazungumza ni kama aliongea na tour operators wote wa Kenya au ndiye spokesman wa kenya tour operatorsπππ...hawa jamaa ni wavivu wa kufanya research
Kwanini wakenya mnakuwa wavivu hivi?, you can't do the simplest of simplest research to satisfy with the facts before opposing something you don't know.Next time post factual things. Avoid fishing gibberish from your ass and posting it here.
Wakinunua mabasi RSA, hawatakosa cha juu. Hot bed for looters.
Do we actually care??? its your own insecurities that will cause someone to campaign against a Kenyan CEO working in Tz or A private company from buying Kenyan assempled BRT just so he can look good on JF!Hii nishaiwasilisha kunakohusika! will be shocked to hear of cancellation for this tender soon