Mzee Russ kafika bei hapo, mademu wanugu kuona hivyo wakamjia juu siku moja midtown, wanamsema kwamba kabadili jina lifanane na "Hakuna Matata" kama katika Lion King, masikini hata hakuwaelewa, nikacheka sana tu.
Ananifurahisha kwa sababu hakuwa na privilege yoyote, Mtanzania wa kawaida kabisa kajaribu zali lake, limekubali, amefanikiwa, anajua kujieleza kwa kiwango chetu (kuliko wanasiasa wengi wakongwe ninaowajua)
Huyu kafika mbali sana, ila anahitaji handlers bado, kiaina.
Hii channel imenifurahisha sana, sasa hivi namuangalia Masoud Kipanya, anakwambia muda wowote anaweza kwenda Mozambique kuuza "pipi".