So far so Good. Big Up to Flaviana Matata

Mzee Russ kafika bei hapo, mademu wanugu kuona hivyo wakamjia juu siku moja midtown, wanamsema kwamba kabadili jina lifanane na "Hakuna Matata" kama katika Lion King, masikini hata hakuwaelewa, nikacheka sana tu.

Ananifurahisha kwa sababu hakuwa na privilege yoyote, Mtanzania wa kawaida kabisa kajaribu zali lake, limekubali, amefanikiwa, anajua kujieleza kwa kiwango chetu (kuliko wanasiasa wengi wakongwe ninaowajua)

Huyu kafika mbali sana, ila anahitaji handlers bado, kiaina.

Hii channel imenifurahisha sana, sasa hivi namuangalia Masoud Kipanya, anakwambia muda wowote anaweza kwenda Mozambique kuuza "pipi".
 
Hata mimi nimeipenda hii channel na nilii-bookmark jana, pia niliicheki ile ya kipanya, jamaa anakwambia wanakula mpaka miguu. Ila kipanya anaupeo wa hali ya juu sana katika kujitambua na kuelewa mambo.
 
Hongera sana kwakwe kwani anawatia Moyo watu kuiga mfano huo bora anaouonyesha, nimevutiwa sana na mpango wake huo wa kuwasomesha mabinti wasiojiweza. Mungu akutangulie katika mambo yako Matata.
 
Nakipenda sana hichi kipindi cha Mikasi/mkasi

Flaviana na foundation yake, hongera mama, kama unavyosema misaada ipo ni watu kupata changamoto, na umeanza kutudhihirishia hiyo POA sana!
 
Mzee Russ kafika bei hapo, mademu wanugu kuona hivyo wakamjia juu siku moja midtown, wanamsema kwamba kabadili jina lifanane na "Hakuna Matata" kama katika Lion King, masikini hata hakuwaelewa, nikacheka sana tu.

Ananifurahisha kwa sababu hakuwa na privilege yoyote, Mtanzania wa kawaida kabisa kajaribu zali lake, limekubali, amefanikiwa, anajua kujieleza kwa kiwango chetu (kuliko wanasiasa wengi wakongwe ninaowajua)

Huyu kafika mbali sana, ila anahitaji handlers bado, kiaina.

Hii channel imenifurahisha sana, sasa hivi namuangalia Masoud Kipanya, anakwambia muda wowote anaweza kwenda Mozambique kuuza "pipi".

REAL TALK 😛oa
 
Demu ana matambo ya kihaya huyu.... but i am proud of her kwa kujitahidi kiasi hicho kwa nguvu zake mwenyewe.

Hongera sana binti Matata, tafuta meneja akushauri namna ya kujibu maswali manake haiko kivileeeeeee
 
Back
Top Bottom