Nakumbuka kulikuwa na kelele nyingi sana hata hapa nchini kwetu zikitia watu hofu ili wachomwe chanjo ya korona.
Nguvu nyingi sana ilitumika kupitia matangazo ya medias, serikali hadi wanaharakati uchwara.
Mfano hata media kubwa duniani kama CNN na The New York Times yalitumia propaganda sana, yakidokeza kuwa asilimia kubwa sana ya vifo ilikuwa inatokea kwa kundi la wasiochanjwa pekee.