so lonely 2day

so lonely 2day

Asha mimi na wewe tuna hiyana kweli?
kumbuka zimwi likujualo halikuli likakwisha...........................

ha ha ha... hiana hatuna bana, mimi naona niachane na hii
topic labda unipe habari ya kona uliopo wkend hii....lol
Naamini mwenye uzi kalala...
 
Unataka mademu tu? huo sio upweke bt ni UKWIRU! zinakupanda bt huna ujanja teh! Pole bwana!
 
ha ha ha... hiana hatuna bana, mimi naona niachane na hii
topic labda unipe habari ya kona uliopo wkend hii....lol
Naamini mwenye uzi kalala...
mwenzenu ana upweke
 
Back
Top Bottom