so lonely 2day

kweli hii dunia ina watu sio mchezo...hivi hivi unatoa namba ya simu kama njugu????

ndo maana wewe ukaitwa tangawizi na mwenzako akaitwa emoshi.....................
 
Asha mimi na wewe tuna hiyana kweli?
kumbuka zimwi likujualo halikuli likakwisha...........................


ha ha ha... hiana hatuna bana, mimi naona niachane na hii
topic labda unipe habari ya kona uliopo wkend hii....lol
Naamini mwenye uzi kalala...
 
Unataka mademu tu? huo sio upweke bt ni UKWIRU! zinakupanda bt huna ujanja teh! Pole bwana!
 
ha ha ha... hiana hatuna bana, mimi naona niachane na hii
topic labda unipe habari ya kona uliopo wkend hii....lol
Naamini mwenye uzi kalala...
mwenzenu ana upweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…