So much pain for denials...nimetendwa


Kama imeuzwa na pesa iliyopatikana umenunua gari nyingine kuna shida gani? Hata kama umeongezea mil. 1 katika pesa hiyo, can 1mil build a house? kuwa flexible na wewe!
 
Hivi kwann wanaume weng tunapenda kulazimisha mambo....ndugu yangu m2 halazmshwi kupenda anapenda mwenyewe so kama hakupend&hakuhtaj we achana nae....DONT BE DISCOURAGE THERE ARE MANY FISH IN THIS OCEAN
 
Kama imeuzwa na pesa iliyopatikana umenunua gari nyingine kuna shida gani? Hata kama umeongezea mil. 1 katika pesa hiyo, can 1mil build a house? kuwa flexible na wewe!
i am flexible...bei ilouzwa na bei iloongezwa ni sawa 45% ambayo m sure kama tungeamua kukaza mikanda angejipatia kaplot kake kazuri.....ambako daily kangekua kana appreciate badala ya kudepreciate kma ilivyo kwa magari..
 
Hakufai, dont beat about the bush. If you insist endelea ili uletewe mume mwenza hadharani. Shukuru Mungu kwa yote, anza safari upya ukirekebisha mapungufu yako.
 

wa wapi wewe unataka kumlazimisha mtu akusamehe?me nadhani huyo binti yupo sawa kwa upande wake,mmekoseana kashindwa kukusamehe ameona aondoke,wewe unataka nini tena?kama uliweza kumsamehe na kumvumilia ni wewe so mwache aendelee na maisha yake na wewe anza ya kwako na pia shukuru amekuwa muwazi kwako.
 
Pole sana kaka, pengne ulikuwa unamsumbua na alvompata anaemtulza nafsi bs akatulia. Cha msing usimg'ang'anie sana kwn hujui km ukimuoa what next!! Anaweza akakufanya ukaumia zaidi na kujuta kwa sana. We msahau na usonge mbele kijana.
 
Sasa wewe unafikiri nini ufanye? Umejua ana mtu mwingine na amekwambia umuache kwanza, huwezi mlazimisha so nurse your heart break halafu move on!

Mimi sioni tatizo, maumivu ni lazima; lkn hayawezi kukuua, ukishindwa basi end ur miserable n sad life!
 
Mambo, uliweza pata suluhu jana???

 
Nadhani huyu dada amefanya maamuzi mazuri kukuambia mapema,ameona kuwa hana future na wewe ndo maana hajapenda kuendelea na process zingine. Usijali, wa kwako yupo na huhitaji kutumia nguvy yeyote
 
Mwombe Mungu kwa moyo wako wote, atajibu i mean you will have another beautiful lady, wapo wengi, ukiona vile hakukupenda wewe kabisa mteme forever....achana naye, kama yupo kidume mwingine, mteme
 
Mambo, uliweza pata suluhu jana???

Pouwa, nusu nusu; kwani mpaka nirudi ndipo nitamtafuta mzazi wa mwanaume ili tuongee kuhusu swala hili!

Nilijaribu kumcouncil binti asiitoe, hopefully hatafanya ujinga while l am away!
 

i can feel pain in your words, pole sana, kama hakutaki mwache aende zake likuepukalo lina heri na wewe ati!
 

Ni kweli ndg iko namna si bure,na ni ngumu ku solve tatizo bl kujua chanzo,yataje hy ulosema ulimwambia asahau ,gange yajayo,napata picha kuna hitilafu upande wk na ww ndo mkosa dat y bd unamuhitaji,alf wajaji wa jf hutoa shtuma za upande wa2 bl kutoa na madhaifu yao yalo sababisha tatizo,jiachie kimaelezo 2kusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…