So much pain for denials...nimetendwa

So much pain for denials...nimetendwa

pole my dear.

Pouwa, nusu nusu; kwani mpaka nirudi ndipo nitamtafuta mzazi wa mwanaume ili tuongee kuhusu swala hili!

Nilijaribu kumcouncil binti asiitoe, hopefully hatafanya ujinga while l am away!
 
pole sana mshikaji unajua ukitendwa ww ni sawa na nimetendwa mm
hiyo imeshatokea so chakufanya ni hivi. unajua kuwa maranyingi tunajisahau pindi tunapokuwa na wapenzi wetu tukiamini kuwa tunapendwa sana na hakuna lakututenganisha tunasahau kuwa karibu na wapenzi wetu na kuwaonesha mapenzi moto moto. wanapokimbia ndipo tunajutia

hebu jaribu kujichunguza ulikosea wapi inawezekana kunaki2 ulimmboa akaamua kukimbia kama vile unapenda sana nanino (kama ile stly uliyo iweka kwenye picha unayotumia tena kinyumenyume hivyo hivyo) kama huja mkosea kitu basi expair date ndio imefika japo kwako bado. ukibahatika kumpata mwingine jitahidi sana kumpenda kwa dhati na kumwonesha kuwa unampenda. kama huwezi kutafuta mwingine basi mchunguze huyo aliye kuibia katumia maujanja gani kumteka demu wako kisha ww unaya edit na kuongezea manjonjo utampata
 
Back
Top Bottom