Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 459
- 1,155
Uwezo wa kuhonga meta hana ila labda hicho kitisho cha kuiungia hio mitandao nchi nzimaTanzania ilitishia kuizuia Facebook, Instagram na WhatsApp nchini kote ikiwa Meta itakataa kuzuia akaunti za wanaharakati watatu.
Baadae Meta ilipiga marufuku mbili kati hizo akaunti tatu.
Vipi hapo Samia hajahonga Meta?
Ni aibu kwa hao vijana wa Samia kuzidiwa weledi na mabinti wawili double M - Mange & MariaVijana wake hawana weledi wa kazi, ubabe na mabavu. Mwisho wanaangukia pua