so scared

cathreen

Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
28
Reaction score
1
Helow, mimi ninaboyfrend wangu ambaye ndie mume wangu mtarajiwa lakini tatizo ni kwamba karibia kila siku tukifanya tendo la ndoa lazima nitokwe na damu ukeni yaani akiwa kamaliza round ya kwanza akichomoa lazima damu zitoke lakini kabla ya hapo nilikuwa na mahusiano na mwanamume mwingine hali hiyo haikuwahi kunitokea sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini naomba ushauri wenu maana nampemda sana mpenzi wangu na sipo tayari kumpoteza
 
Pole sana Cathreen....labda tukuulize anatumia nguvu sana? ana uume mkubwa sana? au pengine una uke mdogo au hakuandai vizuri so unapata michubuko wakati wa tendo la ndoa na maumivu.....pengine waweza kuwa na tatizo kwenye uke au maambukizi!em fafanua then tuendelee....
 
:spy😛ole sana dada na msichana mwenzangu...bt hapo umekosea mpendwa,kwanza kwann umekubali kufanya mapenzi kabla ya ndoa?do u knw dat VIRGINITY IS A PRICELESS GIFT FROM GOD?according to mtu fulani,inasemekana kuwa ukishafanya mapenzi na a guy anakudharau,yawezekana ikawa kweli au uongo lkn bado si tamaduni zetu kufanya mapenzi kabla ya ndoa,haipendezi!njikirudi kwenye swali lako,kwa kweli nakushauri uende hosp kwa ushauri zaidi...mi sijui coz bado cjajaribu wala kufikia huko....
 
inaeza ikawa ni psychological phenomenon but nakushauri umconsult a certified gynaecologist
 
  1. Cervical dysplasia:Cervical dysplasia is precancerous changes of the epithelial cells that line the cervix. Risk increases with multiple sexual partners, sex before age 18, childbirth before age 16, or a past history of STDs. Treatment is usually cryosurgery or conisation.
  2. Chlamydia: A bacterial infection that is usually transmitted through sexual activity or contact with semen, vaginal fluid, or blood.
  3. Gonorrhea: A usually sexually transmitted disease caused by a bacteria. Several pharmaceutical treatments are available.
  4. Vaginitis or Cervicitis: Inflammation or swelling and infection of the vagina or cervix. Treatment depends on the cause.
  5. Cervical polyps: Cervical polyps are smooth, red or purple, finger-like growths that grow out of the mucus layer of the cervix or the cervical canal. Cervical polyps are extremely fragile, extending out of the cervix, and easily and painlessly removed.
  6. Trichomoniasis: A usually sexually transmitted disease caused by protozoan. Can also be passed to newborns during vaginal birth by infected mothers. Although rare, transmission is also possible in tap water, hot tubs, urine, on toilet seats, and in swimming pools. May cause vaginitis.
  7. Vaginal yeast infection: An overgrowth of the normal fungi that inhabits the vaginal area. Common symptoms include itching, burning, and an odorless, white, cheese-like discharge.
  8. Endometritis or adenomyosis: Endometritis is defined by Dorland's Medical Dictionary, 27th Edition as an inflammation of the endometrium (the innermost layer of the uterus). Both conditions are associated with endometriosis. Adenomysis is when endometrial tissue attaches itself to the uterus, or another organ such as the ovaries, and grows outside of the uterus.
  9. Uterine polyps: Uterine polyps occur when the endometrium overgrows causing these protrusions into the uterus. It is extremely rare for these growths to grow in a way that is either benign or malignant. Women with uterine polyps frequently experience bleeding between periods (metrorrhagia), other symptoms includes vaginal bleeding after sex, spotting, menorrhagia, bleeding after menopause, and breakthrough bleeding during hormone therapy. Hysteroscopic-guided curettage is the preferred treatment, since the normal D&C is basically an unguided procedure that may miss many of the uterine polyps.
  10. Fibroid tumors: Uterine fibroid tumors are usually benign tumors. They are solid masses made of fibrous tissue. Fibroid tumors are rarely malignant. Symptoms of fibroid tumors vary among women, with some women never experiencing any symptoms at all. Women who can wait until menopause will see their fibroids shrink and disappear once their bodies stop producing estrogen. It's important that women with fibroids make sure they never take estrogen, in any form including birth control pills, since estrogen increases fibroid growth. Several treatments are currently available for uterine fibroid tumors from myomectomy and uterine artery embolization to the traditional hysterectomy.
Diagnosing vaginal bleeding after sex is usually a matter of exclusion. Anytime you experience post-coital bleeding or vaginal bleeding after sex see your physician.

Above are top 10 causes of Vaginal Bleeding After sex
 
Je, uwa hakufikishi?kuna maumivu yeyote during or after tendo?ama akiona damu ndio uchomoa?Je,unatumia vidonge vya uzazi wa mpango?Je,uwa anakuandaa vizuri?Je,Mkao mnaotumia katika tendo ni mmoja tuu?
Kama majibu ni ndio kwenye maswali yote hayo muone dakitari haraka........
 
ingawa ni vizuri kijitunza lakini sio vizuri kumjuge mwenzio.angekutajia umri wake kidogo ungeweza kusema kama ni mdogo mno kwenye masuala ya ngono.mwenyewe ameuliza kwa kuwa ana shida.pole sana cathreen,natumai umepata msaada wa kutosha kwa wachangiaji wa jf
 
well said mama, chukua 5! Afu aende hospital mara 1 asije ingia kwnye c.a ya mlango wa kizazi.
 
Ana SHAFT kubwa huyo. Atakupasua uke. Kuwa mwangalifu.
 
thanx kwa ushauri bt hukupaswa kuniinsults nilikua nahitaji msaada na sio kubezwa anay way thanx
 
maumivu huwa kidogo sio sana damu hazitoki katikati ya tendo huwa zinatoka baada yaq kuwa kachomoa in fact sio damu yani km za bleed ila anapokuwa anapiiz zile shahawa huwa zina some sort of wekundu kwa mbaaaali
 
thanx ntalifanyia kazi, but i love the guy kumwacha sidhan km ntaweza
 
thanx michele, kuhusu uume mkubwa some how i can say yes yaanin Mashaallah. na akianza huwa atumii nguvu bt inapokua katikati mechi imechanganya nadhan mzuka unampandaga anajikuta anaongeza spidi.....ila kuna baadhi ya siku tukiwa tuna doo damu hazitoki naninavosema damu simaanishai damu km vile kidonda ama mtu unapokuwa hedhi namaanisha anapokuwa anapiiz zile shahawa zinakuwa sio nyeupe as usual zinakuwa na karangi fulaNI hivi kekundu kwa mbaaalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…