Helow, mimi ninaboyfrend wangu ambaye ndie mume wangu mtarajiwa lakini tatizo ni kwamba karibia kila siku tukifanya tendo la ndoa lazima nitokwe na damu ukeni yaani akiwa kamaliza round ya kwanza akichomoa lazima damu zitoke lakini kabla ya hapo nilikuwa na mahusiano na mwanamume mwingine hali hiyo haikuwahi kunitokea sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini naomba ushauri wenu maana nampemda sana mpenzi wangu na sipo tayari kumpoteza