Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
nnaposema sipo tayari kumpoteza i mean nampenda sana na kumuacha sio rahisi kwanza tumefikia hatua nzuri tu sasa na nikimuacha itabidi nianze upya kutafuta mwingine na wanaume wenyewe hamueleweki then malazi mengi[
ndo maana nilipata logic ya wewe kuwa mkali ulipoambiwa kwamba usifanye ngono nje ya ndoa..Unadhani hiyo ndo silaha ya kumfanya b/f wako asikuache..
Any way,sitaki kukuhukumu, kwa sababu ukweli wa mambo unaujua mwenyewe..inawezekana huo mchezo wenu mnaufanya kwa style (nyingine hata za kufa mtu) ili mradi tu umridhishe ili akuoe..
nadhani huko kutoka damu kunaweza kuwa na maelezo mengi zaidi kuhusiana na mchezo wenu
Nani kakwambia kuwa wanaume hawaeleweki??
Unaweza ukafikiri huyo jamaa yako anaeleweka sasa hivi, lakini huwezi kujua huko mbele ya safari kitatokea nini??