so scared

so scared

nnaposema sipo tayari kumpoteza i mean nampenda sana na kumuacha sio rahisi kwanza tumefikia hatua nzuri tu sasa na nikimuacha itabidi nianze upya kutafuta mwingine na wanaume wenyewe hamueleweki then malazi mengi[

ndo maana nilipata logic ya wewe kuwa mkali ulipoambiwa kwamba usifanye ngono nje ya ndoa..Unadhani hiyo ndo silaha ya kumfanya b/f wako asikuache..

Any way,sitaki kukuhukumu, kwa sababu ukweli wa mambo unaujua mwenyewe..inawezekana huo mchezo wenu mnaufanya kwa style (nyingine hata za kufa mtu) ili mradi tu umridhishe ili akuoe..
nadhani huko kutoka damu kunaweza kuwa na maelezo mengi zaidi kuhusiana na mchezo wenu

Nani kakwambia kuwa wanaume hawaeleweki??
Unaweza ukafikiri huyo jamaa yako anaeleweka sasa hivi, lakini huwezi kujua huko mbele ya safari kitatokea nini??
 
nenda kamuone doctor mpendwa wangu,wakati mwingine hali kama hiyo usababishwa na kansa ya kizazi kutokana na maelezo ya baadhi ya madoctor.
 
:spy😛ole sana dada na msichana mwenzangu...bt hapo umekosea mpendwa,kwanza kwann umekubali kufanya mapenzi kabla ya ndoa?do u knw dat VIRGINITY IS A PRICELESS GIFT FROM GOD?according to mtu fulani,inasemekana kuwa ukishafanya mapenzi na a guy anakudharau,yawezekana ikawa kweli au uongo lkn bado si tamaduni zetu kufanya mapenzi kabla ya ndoa,haipendezi!njikirudi kwenye swali lako,kwa kweli nakushauri uende hosp kwa ushauri zaidi...mi sijui coz bado cjajaribu wala kufikia huko....
We bikira unayo? Au umbeya tu. Muache mwnzio, shndwa ulegee
 
helow, mimi ninaboyfrend wangu ambaye ndie mume wangu mtarajiwa lakini tatizo ni kwamba karibia kila siku tukifanya tendo la ndoa lazima nitokwe na damu ukeni yaani akiwa kamaliza round ya kwanza akichomoa lazima damu zitoke lakini kabla ya hapo nilikuwa na mahusiano na mwanamume mwingine hali hiyo haikuwahi kunitokea sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini naomba ushauri wenu maana nampemda sana mpenzi wangu na sipo tayari kumpoteza

kwanini ukutokee kwa b/F wa sasa? Au labda uume wake mkubwa sana?
 
:spy😛ole sana dada na msichana mwenzangu...bt hapo umekosea mpendwa,kwanza kwann umekubali kufanya mapenzi kabla ya ndoa?do u knw dat VIRGINITY IS A PRICELESS GIFT FROM GOD?according to mtu fulani,inasemekana kuwa ukishafanya mapenzi na a guy anakudharau,yawezekana ikawa kweli au uongo lkn bado si tamaduni zetu kufanya mapenzi kabla ya ndoa,haipendezi!njikirudi kwenye swali lako,kwa kweli nakushauri uende hosp kwa ushauri zaidi...mi sijui coz bado cjajaribu wala kufikia huko....

We ulingoja kuolewa? unashauri kitu ambacho hata wewe hukukifanya, we wapi? unadhani angengoja mpaka ndoa tatizo hilo angelijua saa ngapi?
umefanya vizuri mwaya, jaribu kujibu maswali ulioulizwa na Michelle then JF itakupa ushauri hakishindikani kitu hapa
 
Vip shost umeenda hospital?ka umeenda ungetoa maelezo uloambiwa na doctor ili wengne wajue ni nn na wafanyeje?hyo itasaidia hata mwingne akiwa na tatizo ka lako tunamdirect kwenye thread hii!pole mama
 
Back
Top Bottom