helows, naombeni ushauri wenu, mimi nina bf ambaye soon atakuwa mume wangu lakini tatizo ni kwamba kila tukikutana faragha kufanya tendo la ndoa akichomoa tu lazima ntokwe na damu ukeni sijui tatizo ni nini, ila kabla yake nilikua na mahusiano na kijana mwingine lakini hiyo hali haikuwahi kunitokea sasa sijui tatizo ninini naombeni ushauri wenu.
Haiwezekani kuwa ana maumbile makubwa sana? Kama ni hivyo mjaribu akuandae muda mrefu kabla ya kudumbukiza ududu au mtumie vilainishi, Kama si ukubwa basi nenda Hospitali watakusaidia mpendwa, pole sana