helows, naombeni ushauri wenu, mimi nina bf ambaye soon atakuwa mume wangu lakini tatizo ni kwamba kila tukikutana faragha kufanya tendo la ndoa akichomoa tu lazima ntokwe na damu ukeni sijui tatizo ni nini, ila kabla yake nilikua na mahusiano na kijana mwingine lakini hiyo hali haikuwahi kunitokea sasa sijui tatizo ninini naombeni ushauri wenu.