So this is how flirting really works?

So this is how flirting really works?

..we kimbia tu, lakini ukiingia nako ndoani utakuja kunihadithia. Kamchezo katamu sana hako.
Yaani acha tu!!
Nishakaacha[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Yaani acha tu!!
Nishakaacha[emoji85] [emoji85] [emoji85]
..lakini hujamalizana na mimi, karudie kwangu walau kidogo tyyy[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]
 
Ningeelewa ulichoandika labda ningetoa ushauri tatizo nilikimbia umande
 
I used to flirt with one girl ambae tulikuwa tunafanya nae kazi sehemu moja..Mwanzoni nilijua kama mchezo tu alioanzisha just for fun na kufanya kazi zisiboe...nilikuja kugundua baadae kumbe aliamua kuflirt namimi kwa lengo la kumtosa mshkaji wangu ambae nae ni mfanyakazi mwenzetu pia..kwakuwa alikuwa mshkaji wangu niligundua kabisa jamaa alimpenda kiukweli demu na alitaka aanzishe serious relationship(washkaji uwa hatufichani mambo yetu).Kumbe kule kuflirt kulimsababisha mchizi akate tamaa na kujitoa mazima,akaugulia machungu yake weeee alipokuwa normal ndo akaniambia ishu yote....daaaah!! ilinibidi nilipize machungu aliyoyapata mshkaji wangu aiseee....Niliamua kumla kiukweli yule demu,tena gemu la kibabe haswaa!!!!
 
Nimeanza kuflirt nae mda kidogo,we clicked yani...
basi tukawa tunaenda na flow....
He is a very busy man...
I know he is taken and so am I...
We both didnt have the intention of going overboard,just flirting tu basi...
Siku hizi kawa bitter,hatuwasiliani sana...
I miss him but my pride holds me back..
Nilishamzoea nkaanza kua attached flani hivi...
Should I say its for the best that he is being this way au??
Siku hizi amekua mtu wa kuniattack,na me nsipomtafuta ndo imetoka hiyo...
Sijui ni ile siku i stinged him with the truth...???
Au he knew am getting too attached and it would cause problems...???
Au ni vile tu kanichoka...???
I know this is so stupid...and way too low for me...
I look like a fool...
Just thought i should share...

Nitukane,nimock,niandikie chochote tu unachojisikia....maybe it will do...
Kwani ukiandika kiingereza tu au kiswahili tu unapata shida gani, au huwezi kusimama na Lugha moja ktk uandishi ukaeleweka kwa jamii nzima!?
 
mahusiano ya kimapenz huwez kusema najaribu au natania same apply to flirting..kama sio wewe basi huyo mwezio lazima aje kuumia baadae kwa kujaribu jaribu mambo yasiyojaribika
 
Back
Top Bottom