Soccer Genious - Dennis Bergkamp

Soccer Genious - Dennis Bergkamp

Flying Dutch he was really noma on his days.
Ila katika wacheza mpira wooote, namhusudu Ronaldo de Lima
 
R9 ni anga nyingine

na kosa fitina za pele huyu mnyama DE LIMA dunia ingemshuhudia tangu kombe la dunia 1994 U.S.A......mzee wa kutupia na mpiga baiskeli inapobidi ukichelewa sekunde tu atapopiga baiskeli ndinga kimiani!
 
dah tulikuwa tukimuita mzee wa ndizi, yaani mipira ya banana chop ndo ilikuwa zake
 
Back
Top Bottom