Soccer Star Didier Drogba Launches Men's Underwear Brand

Soccer Star Didier Drogba Launches Men's Underwear Brand

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

drogba.png

Former Chelsea striker and Ivory Coast soccer team captain Didier Drogba has launched his own men's underwear brand.

The 36-year-old footballer teamed up with France-based designer HOM to make varieties of men's underwear and beachwear that would hit the market on May 1st.

Announcing the new product, Drogba said:

“I’m very proud to announce the launch of my underwear brand. The first underwear brand that will be launched to support a foundation, my foundation, The Didier Drogba Foudation. They will be out on 1st of May"

We wish him the best with his new initiative.
 
Afu we Boxer nyeupe si zinakuwa Special kwa ajili ya siku maalum ! Au
 
Afu we Boxer nyeupe si zinakuwa Special kwa ajili ya siku maalum ! Au

Wachafu utawajuaa tu kwa hiyo we unavaa nyeusi kila siku halaf siku maalum unavaa nyeupe,vaa nyeupe muda wote ukipendaa hizo siku maalumu
 
Simpendi huyo mtu mimi,analazimisha fani hana kipaji chochote

Hata mi simpendi linaharibu wadogo zetu matokeo ni kuja kulalamika wanaume wana vibamiaa wakati washafanywa mabakulii na manaiki
 
Wachafu utawajuaa tu kwa hiyo we unavaa nyeusi kila siku halaf siku maalum unavaa nyeupe,vaa nyeupe muda wote ukipendaa hizo siku maalumu

Siku ya pilau ujue sikukuu !
Siku nyingine tunakulaga bahati mbaya tu !

Afu mi napenda Boxer ya Pink na Njano na Blue siyo nyeusi kama unayoipenda wewe !

Nyeupe ujue sikuhiyo nna mihadi na mtu kama wewe !
 
Hata mi simpendi linaharibu wadogo zetu matokeo ni kuja kulalamika wanaume wana vibamiaa wakati washafanywa mabakulii na manaiki

Wadogo zenu wenyewe wana matatizo !

Kama kazi za kufanya hawana ! !
 
Hata mi simpendi linaharibu wadogo zetu matokeo ni kuja kulalamika wanaume wana vibamiaa wakati washafanywa mabakulii na manaiki

Sasa yule mtoto diana si ndo kenshafanywa bahari kabisa?manake kawekwa na huyo manaiki kinyumba miezi 6????
 
Back
Top Bottom