conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 811
- 681
"SOCCER was my passport to Cross boarders ":by ALEX KAJUMLO:
AKIHOJIWA na "Vinary KUMER" Kutoka kituo Cha radio chenye kujadiri mambo mbalimbali ya kijamii,kisiasa na kiuchumi kiitwacho PODCAST-CALIFORNIA-USA: KAJUMLO mwenye studio ya MUZIC huko SEATLE-WASHINGTON -USA, mcheza soka wa zaman, mwana music, na mtoto wa mkulima wa KAHAWA kutoka Kagera, MULEBA-Tanzania, Mzee KAJUMULO(R.I.P), anayeishi UGHAIBUNI takribana miaka 29 Sasa na mwenye kiu ya kusaidia watoto wa kike na wasiojiweza kutoka kwa Jamii zinazolima KAHAWA ,hususan TANZANIA-KAGERA,
Anasema: SAFARI yake kupitia mpira miaka ya 1980, akitokea Tanzania, akienda KENYA, SOMALIA,D'BOUT,YEMEN,HOLAND-FRANCE mpaka MAREAKANI.
Akijulikana kwa Vizaz vyoote vya music pamoja na kuwa Mwalimu wa mpira kwa watoto wadogo huko CALIFONIA,mmliki wa kampuni ya KAJUMLO Inc. ya Kutengeneza vifaa vya michezo, yenye Leseni ya nchi zaidi ya Tano, na ikujulikana kama mali ya WAMAREAKANI, na akimiliki studio ya MUSIC yenye jina "BUSHMAN ORIGINAL" Studio Iliyoko WASHINGTON,na ambae ametoa ngoma nyingi na zilizobamba DUNIANI, ni pamoja na wimbo wa "GULIA" kwenye Hiyo video inaanza na picha ya KAHAWA,Kuonyesha uasilia wake, pia kuna wimbo Unaitwa "401years "(four hundred and one years) ,Ukishika namba moja dunian 2020, aliyoshirikisha nguri wa muzik wa reggae kutoka familia ya Bob Marley,Upo wimbo wa "natureman signature" kutoka kwenye album zake mbalimbali. (visit U-TUBE).
Alex KAJUMLO-Bushaman original , Mwenye structure kama watu wa GHANA au SENEGAL,(NDIAYE)na mpenda dredrocks, Amepokea tuzo nyingi chini Marekani na huko nje ya nchi yake kwa michango mbalimbali ya kijamii, hususan PEACE MAKER.Mpira,na muziki
Akiojiwa na KITUO hicho alipoulizwa swali kuhusu COFFEE FARMERS FESTIVAL maudhui yake na Kama imewahi fanyika popote, Alisa Mara ya mwisho Kufanya hivyo ilikuwa 2019, na MWAKA jana hatufanya kutokana na kuwepo kwa ugonjwa wa COVID- 19. hata hivyo kasema lengo kubwa ni kushawishi watumiaji wa KAHAWA popote walipo duniani kusikiliza music wake na kuchangia kwa kununua music wake ili kitakachopatikana aweze kuwasaidia watoto yatima kutoka Jamii ya wakulima wa KAHAWA hususan TANZANIA ,Africa pamoja na nchi zinazolima MIBUNI.
Akiongozea anasema ana mpango wa kundeleza ONYESHO hilo kadri khali ya COVID19 itakovyotengamaa,lakini pia atafanya maongezi na nchi mbalimbali Ikiwemo USA yenyewe namna ya kuboresha ONYESHA hilo kila mwaka na Kila nchi Kama mchango wa kumkumbuka mkulima wa KAHAWA DUNIA na Kama njia ya kuboresha kilimo cha KAHAWA.
Akijibu swali la mwandishi, kuhusu asiri ya mizik wa AFRICA, :,Anasema sauti za WANYAMA, katika mazingira aliyokulia ilikuwa inatosha kupata mashair na mapigo ya kutumia, ikiongezewa na kutumia ngoma za asiri na gitaa za kufunga kwa nyuz za magome ya miti (one string gitaa).
Anasema neno COWBOY asiri yake ni AFRICA sio wale wanoijiita cowboy hapa USA wakati wanafungia ng'ombe kwenye zizi, Yeye alikuwa Anaingia marishoni huko kwao MULEBA, na ngombe 1000 akiwa na fimbo huku akiwa peku anaswaga ng'ombe porin asubuh mpaka jioni. Akishindia MIHOGO,na maziwa fresh akiwa huko porini.
Naambatisha link ya mohajiano yake. Mzalendo the "bushman" ALEXANDER O.Kajumulo.kama alivyo hojiwa leo Tarehe 3.march 2021.