Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
- Thread starter
-
- #101
Tumefungua uzi wake, tunaomba uje kutuuliza huko tukuelekeze.Utachomaje takataka bila kuleta madhara? Wee kweli Mzee wa madrasa
Katika mpango wetu wa kuwezeshana, yeyote ambae kasoma chochote na hajapata ujuzi (expirience) wa kazi, tunampokea ili apate ujuzi (expirience) kwa vitendo.Mzingatie na elimu dunia pia.
Wewe kwanini haufanyi kazi ya kuwa mtaalaamu wa lugha za kitapeli, huko polisi, maana unaonesha ni hodari sana.kutokana nalugha iliotumika humo jamaa anaonekana nitapelitapeli najamii ikaenae mbali.
Kakujibu vizuri sana.kutokana nalugha iliotumika humo jamaa anaonekana nitapelitapeli najamii ikaenae mbali.
Imefikia hatua ya kuwekwa madawati.Na ile shule imefikia wapi kwa sasa ili tuje kwenye ujenzi wa nyumba zetu.
Abdul, Allah akuzidishie kila la heri. Nimependa sana whasapp yako ya leo, kwani hujaiweka hapa?Imefikia hatua ya kuwekwa madawati.