Social media is for bunch of losers

BIGstallion

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
6,324
Reaction score
7,913
Nimeweka post Yang kuhusu kutafuta mchumba lakin kutokana na watu wengine ambao ni lossers, kufeel jeolus na envy ,wanaanza kunitukana na kujudge vitu visivyo na msingi mpaka meaning ya lengo zima la utafutaji linatoweka, tuwe wastaraabu basi, ukiona thread kama huna cha kuchangia pita kavu, kwan how much does it cost to be a good person, ukisema "kila la heri mkuu" unapungukiwa nn, jirekebishen wadau, uwez jua kwa nn mtu mpaka anakuja uku kweny jf kutafuta mwenza,.show some bit of respect, ukivunjiwa heshima unaanza kuona watu wabaya..
 
Jambo la kheri halikosi changamoto take it easy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…