Social Media Vs Maambukiz ya UKIMWI kwa vijana?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kumekuwepo kwa social media platforms na Apps za kueneza ngono hasa kwa vijana Badoo, nairobiraha, insta, Grindr je Kuna jitihada zote za kupunguza Maambukiz kwa vijana.

Maana vijana wanaloweka bila kinga. Na Kampeni za Kujikinga na UKIMWI zimesahaulika kabisa. Tunaandaa taifa la waathirika miaka 10 ijayo
 
Vijana wanapenda kula kimasikhara bwana....alafu mbona kuna miradi ya msingi ya kupeleka fikra na hela than hizi za ngoma.

Mwinyi alisemaga ukweli " ugonjwa umekaa pabaya...vijana wanapataka wazee wanapataka'
 
Hiyo App ya G Ni balaa masela wanapasuliwa mpaka aibu
 
Mimi naomba Mungu andelee kunipigania.
 
Kirefu chake hakitishi '"Upungufu wa Kinga Mwilini" Kifupi chake ndy kinatisha watu sasa UKIMWI......

Tukumbushane tu, jmn Ugonjwa upoooo, na dawa zipooooo.
Pima ondoka gizani, vyovyote vile maisha lazima yaendeleee tu.
 
Ugonjwa upo wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…