bado sijapata nafuu nipo vile vile. Tena this time anxiety inakua juu hadi natapika
Usiumie ndo maana nikakuuliza hizi siku Na miezi tuliozaliwa inaathiri Kwa kiasi kikubwa mafanikio yetu Na maisha yetu Kwa ujumla.Watu wenye nyota ya kaa wana matatizo ya depression pia wana uwezo mkubwa kuliko watu wengine kwani wanaona vitu visivyoonekana nadhan ni kutokana Na nature ya mwezi kwani wanakua wanaongozwa zaidi Na hisia tena wewe ukiwa Na mwenza mtagombana sana.njoo pm nikusaidie kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu.....Asante Avriel kwa kunipa moyo ubarikiwe sana.
mkuu hiki kitabu hakiko practical zaidi niaelezo tu ya theory lakini hakionyoshi jinsi ya kuapply hiyo theory katika maisha ya kila sikuNime attach hicho kitabu hapa; kinaitwa "The Secret"; Kinajaribu kueleza kwamba chochote ambacho kinakutokea kwenye maisha yako, YOU are the one who attracted it to your life. CHOCHOTE KILE. Ni kitabu kizuri.
Pia, kama unafikiri kuwa hospitali ziko after money, well and good. Just find ANYONE to talk to. Unahitaji hicho kwa sasa kuliko kitu kingine chochote kile. Tafuta mtu uongee nae, ufunguke kuhusu kila kitu unavyojisikia, your disappointment, your failures, kila kitu. Itakusaidia sana. Maiti
Yaani ungeenda kutembelea wagonjwa mahututi walioko mawodini na ICU ungetoka ukimshukuru Mungu sana kumbe wewe hauna tatizo kabisa yani ungejshangaa sana! Eti unalaumu wazazi / walezi kwamba hawakukuachia kujichanganya?
Kwa mwenye mtazamo chanya hiyo ataichukulia kama bahati! Naamini walifanya hivyo kwa upendo ili mabaya yasikupate,
Leo unawalaumu?
Kwa hiyo umejiandaaje? Unapoenda unadhani ndiyo utaenda kupata ufumbuzi?
Kule nako kuna maisha yasiyo na mwisho.
Social phobia ni tatizo kubwa sana. Na wengi wanalo ila hawajijui. Ila haiwezekani ujue kiini cha tatizo lako kinagaubaga hivi halafu eti udai linakutesa bado. Si kweli hata kidogo. Unajua wazi hofu uliyonayo ni irrational fear! Yet iendelee kukutesa? Nadhani hujaamua kilimaliza hilo tatizo.
Mbinu moja ya kumaliza social phobia ni kuface yale mazingira yanayokupa hofu. Pia kuacha kuwa too conscious of yourself. Acha kujifanyia postmortem baada ya kuzungumza kitu mahali. Yaani yale mawazo km watu wamenionaje, nimeonekana wa hovyo. Etc.
Pole sana,
Zingatia ushauri wenye kufaa!
Hilo ni pito tu la bonde la uvuli wa mauti lakini Bwana yuko pamoja nawe!
Gongo lake na fimbo lake vikufariji!
Ujaooona usiku umesonga sana na giza nene fahamu kuwa asubuhi yako yako iko karibu yako sana!
Nenda kwenye maombi ukamtwike Yesu fadhaa zako zote nawe utakuwa huru na kuishi maisha Marefu na kuifikia hatima yako Kuu na njema alokuwekea Mungu!
you dont understand mkuu nashukuru kwa akuni-blame ila wanaojua nachopitia wanaelewa nini nachopambana nacho.