Socialphobia, anxiety, depression, panic attack inaniua taratibu! Msaada

🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆🫡 Dah!
Umecheka umechukulia masihara mkuu. Ila amini nakuambia kama vipi wewe google hapo uone mimi ndio chai yangu hio.
Ukinywa hio chai hata ofisini unajikuta mwenye furaha sana
 
Hapa siongeli furaha mzee! Furaha ni ninayo na imejaa tele, wala sina wasiwasi huo! Ishu ni internal conflicts nilizo nazo kuhusu social interractions za mimi na jamii inayo nizunguka au tabia yangu nikifananisha na watu wengine ninao waona
 
Basi mzee dawa ni utafute hela tu nadhan ni majukumu ya kifamilia yanakustress tu.
 
Mental health is real bro. Muone daktar
Inawezekana! Ila sidhani kama ni ugonjwa na ingekua imenianza leo au juzi sawa ila ndivyo nilivyo ishi maisha yangu yote mpaka hapa na hamna marekebisho yoyote yanayo wezekana maana swala hilo ndilo mimi
 
Back
Top Bottom