Error kwenye maisha ya watuuuuu!!!!!b! Siwezi poteza muda kuwawajibisha mlolongo wake ni mrefu na pia rushwa itachukua mkondo wake tz ni zaidi ya unavyoijua!!
Soda hii nimeinunua jana kwa muuzaji wa jumla ilikuwamo katika kreti la soda ndani kuna kisoda ambacho inaonyesha kuwa mwywaji wa mwisho alikikunja na kukiweka ndani ya chupa na iliporudishwa kiwandani haikusafishwa kabla ya kujazwa soda nyingine hii ni hatari kumbe chupa hazioshwiiii maisha si salama tena cha kushangaza hadiinatoka kiwandani hakuna uhakiki wowote jamani ni hatariii!!tdfa mpoo na tbs mpooo!!!
Error zipop tu mama, hata kwenye noti ya Dollor huwa zinatokea! Sijui uoshaji wao uko vp, na uhakiki kabla ya kuruhusu chupa itumike ukoje; vyote kwa vyote error huwa zinatokea. Vp una mpango wa kuwawajibisha?
afadhali hii ni kisoda....kuna mdau mwingine alishalalamika pia
yakwake ilikuwa sprite na ndani ina condom (salama) ukitafuta
post za nyuma utaipata
Soda sijainywa madhara sijapata madai mahakamani inabidi niifungue ninywe niende hospitali ya serikali dr athibitishe kuwa nimedhurika kutokana na soda hii then kesi mahakamani itasukuma kama miaka miwili hv maana ubishani utakuwa mwingi then fidia yake milioni kumi tu wakati huo nahesabu masaa ya kuishi!!!
ndo maana sonywi soda... Wala beer maana kipindi nipo chuo kuna soda nilikuta ina spongi, na niligundua nilipokunywa almost robo...
Mdau,spongi ndo nini?