soda hii ni hatari kwa maisha yetu

soda hii ni hatari kwa maisha yetu

Watu tumekuta ndomu kwenye chupa ya bia na jamaa wakanipoza na sh.500,000.00 fasta kabla sijaileta jukwaani
 
afadhali hii ni kisoda....kuna mdau mwingine alishalalamika pia
yakwake ilikuwa sprite na ndani ina condom (salama) ukitafuta
post za nyuma utaipata

POTA EEEEEEEEEEEEEE, NIMEIPENDA HIYO AVERT/thumbnail
 
Back
Top Bottom