101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,221
Hii documentary imefanyika Katika mji wa Chiapas nchini Mexico kutokana na mji kukosa huduma nzuri za maji safi na salama Kwa kunywa wananchi wanatumia kinywaji cha soda za Coca-Cola kama mbadala wa maji hali hii imewapelekea kuwa na unywaji Mkubwa wa kinywaji hiki na kupelekea watu kupata madhara kama vile kisukari na uzito mkubwa Katika jamii.
Hii documentary inaelezea vyote link ni hapo chini
[emoji116][emoji116][emoji116]
View: https://youtu.be/hqnUohxXV0I?si=UGZfgF-OYY8XGt5B
Hii documentary inaelezea vyote link ni hapo chini
[emoji116][emoji116][emoji116]
View: https://youtu.be/hqnUohxXV0I?si=UGZfgF-OYY8XGt5B