Soda za Coca Cola zimeadimika mtaani pia maziwa fresh ya packet

Soda za Coca Cola zimeadimika mtaani pia maziwa fresh ya packet

Coca cola wametoa vi emolo vya 300mls vya plastic kwa jero. Hii ni baada ya kugundua ni jinsi gani tulikuwa tunapelekwa chumvini bila wenyewe kujijua kupitia chupa za kigae.
 
Hizo bidhaa hazipatikani ama kama zipo ni kwa uchache sana. Kunani?

Sambamba na hilo, vitu vimepanda saaaana bei , wachumi mnasemaje?
Pande gani hizo mkuu?

Sisi huku Sangamwalugesha ni za kumwaga!

Ni maji yetu ya kunywa kila tumalizapo kula.
 
Coca cola wametoa vi emolo vya 300mls vya plastic kwa jero. Hii ni baada ya kugundua ni jinsi gani tulikuwa tunapelekwa chumvini bila wenyewe kujijua kupitia chupa za kigae.
Nahis soda ikikaa kwenye plastic kuna jinsi taste inavyobadilika. Mimi uwa napata taste tofaut kati ya soda ya chupa ya plastic na kioo
 
Ila walokole mna tabu..anyway polen..sisi wanywa bia siku zikiadimika zitaleta mtikisiko wa uchumi.
 
Soda zimeanza kuzalishwa lakini Bei imetoka 500 hadi 700 kwa soda za chupa. Nadhan walisitisha uzalishaji maksudi ili warudi kivingine na ongezeko la bei
 
Soda ni addiction ona watu mnavyotapatapa kuitafuta

Ova
 
Karibuni mnywe maziwa kwa bei yakitanzania mtindi lita tano ni 15.000
 
Back
Top Bottom