Soda za pepsi zimekuwa na ladha mbaya

Soda za pepsi zimekuwa na ladha mbaya

Sasa mnakunywa vya nini? Wewe unaekunywa hayo madude yanayoitwa soda nakutahadhalisha mbeleni usije kuisumbua familia yako...
 
Peps imegeuka soda ya hovyo ladha mbovu mdomoni chumvi km sio chumvi,kidonge km sio kidonge

peps wamepatwa nn au wanatumia maji ya bahari kujaza kwenye chupa
Soda zote pespi na Coca-Cola...tena Coca-Cola ndiyo imekuwa uchafu kabisa inanuka madawa ya kusafishia chupa za kiwandani ....Coca-Cola ilikuwa sada nzuri sana ila kwa sasa ni takataka bora hata pespi
 
Vitu vingi sana vimepoteza ladha ya mwanzoni
Kuna mambo mawili kuna wewe kupoteza ladha na kuna bidhaa kupoteza ladha mfano soda za Coca-Cola...fanta nk siyo kama miaka ya 1990 to 1995 kuja chini zilikuwa na ladha safi sana
 
Ume kunywa pepsi ya bonyokwa karibu mjini .ujui kuna viwanda hadi vichochoroni
 
Peps imegeuka soda ya hovyo ladha mbovu mdomoni chumvi km sio chumvi,kidonge km sio kidonge

peps wamepatwa nn au wanatumia maji ya bahari kujaza kwenye chupa
Wale wahindi sijui wameinenea nini ile soda isee ina addiction yaani ukiingia tu kutoka ngumu
 
Back
Top Bottom