Sodoma ipo hapa Dar, usiku huu nimeshuhudia mengi

Hakuna jipya hapa mjini. Binadamu kumf#r@ sisimizi au sisimizi kumf#r@ binadamu labda ndo inaweza kuwa story mpya.
 
 
Pole sana ila mbona hayo mambo yapo kitambo sanaa, zaidi ya miaka 10 iliyopita huko au haujawahi kuwasikia wadada wa laki si pesa?.
 
Mind your business
 
Kaka hapo bataflai nimepatafuta sana pale Gomzi sijafanikiwa kupaona, tafadhali ninaomba nipate direction moja kwa moja ili niweze kuburudika

Stress ni nying mkuu
Mkuu kesho ijumaa ndo weeknd inaanza nakupa full location
 
Siku moja nimemtembelea jamaa angu buza...tunagusa moja moja kwenye la grocery nasikia matarumbeta na ngoma Kuna Nini akasema Kama una buku toa tuwape wapige show aiseee wana.mwaga radhi chipu hawajavaa Dela tu akilipeperusha vuzi wazi shanga hizo..alafu mapema tu tu jua Kali...
 
Huku nchi zilizo itwa first world countries hayo mambo hufanyika mchana kweupe kabisa
 
Pole Man ila nikushauri, stress zisikufungulie milango ambayo itakumaliza baadae.
Tafuta namna nyingine ya kukabiliana na stress mkuu. Pole sana
Nashukuru kiongozi, lakn mim hicho huwa kinaondoa stress zangu saaana!! Si mlevi wa pombe, lakn ni mpenz wa hizo shoo since kipnd hicho!😊😊... Nimeshazunguka sehem nying za starehe lakn zile cheap cheap, expensive sijawahi... Naishia kuona tuu, mfano wa hizo party za Did, kwa Tz Kuna zile zinaitwa HOUSE PART, na zenyewe ni noma sana kwa hapa tz
 
Hahahaha! Hapo Kuna klub bubu humo ndani!! Huwa wanapiga tarumbeta kuwajulisha wapita Njia kwamba Kuna jambo huku!! Kiingilio saiv ni 6k... Karibu na kwa abiola hapo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘―β€β™‚οΈπŸ‘―β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…