Sodoma ipo hapa Dar, usiku huu nimeshuhudia mengi

Ndiyo umejuwa leooo
Sodoma upididi upo sana tu
Tena na hii miziki yao ya sahv ni
Balaa wanazidi kuhamasishana
Kulana mkndddx

Ova
Kipepe kachelewa sana kuona hayo mambo. Enzi za JK nadhani ndo ushenzi ulishamiri zaidi. JPM akaja kutuliza kwa kiasi chake. Naona kama vile kwa sasa wameanza kujiachia upya.
 
Hahaha ulikua hujui wewe ndiye shetani?

Biblia inasema Baada ya yule malaika kukataa kumtii Mungu, Alimuamuru aondoke na akamtupa DUNIANI.

Sasa wewe kuishi kwako koote humu duniani lini umewahi kukutana na shetani? sasa unadhani yeye humu duniani anaishi wapi? Na unadhani ana umbo gani? Kwasababu hiyo biblia inasema Mungu alimuumba binadamu kwa mfano wake, sasa unadhani hao shetani wanafananaje?

Wewe na mimi ndiyo mashetani wanzilishi wetu ndio walimkana Mungu, sisi ni vishetani vidogo viingi, tunatofautiana tu utashi wa kutenda maovu. Wote tunaweza yote, kuua, kuzini, kubaka, kulawiti, na mengine mengi, ila sio wote wenye utashi wa kuyatenda hayo.

Ulichokiona siyo kipya, maana umehadithia kama mtaalam, kwa sababu hufanyi wewe unashangaa wanao fanya, ukiwa uvuti bangi unawaona wavutaji kama wamedata. lakini nawewe una mdomo unaweza kuvuta ,sema hutaki, ungekua unavuta huyo jamaa aliyetoa buku 10 kula mzigo unge muita mshikaji.

Hahaha ni mengi ila usishangae, hakuna shetani zaidi ya binadamu.
 
Sio Girrafe hotel hapo Sudan,maana ni laana hapo
 
Bar gani hio tuitembelee kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…