Sodoma ipo hapa Dar, usiku huu nimeshuhudia mengi


Business inaangalia trend ya Market Halafu inajikita huko, ukiona hivyo ujumbe ndo service Wateja anataka hiyo
 
Pole Sana mkuu .

Ila usipendelee Sana kwenda mitaa hiyo USIKU , huko watu wamejichokea kiakili ,kimwili na kihisia .

Hao uliokuwa unaowaona usiku wanafanya hayo wengi ukikutana nao mchana hata bure haumchukui .

Hivyo ukiingia umo ndani USIKU na zile taa zao na ukiwa umeshalewa utajikuta unawatamani .


PPT
Peoples
Place
Things

Ukitumia hiyo kanuni Sodoma na Gomora hautoiona DAIMA.
 
Kila jamii na starehe zake mkuu. Au ulitaka na wao waendee kunywa wine samaki samaki? Ushuani na starehe/ustaarabu wao. Uswahilini na starehe zao. Ni maisha mkuu. Hakuna la ajabu.
 
Ushuani huko hampati Kansa? Hampati ngoma? Haya bwana.
Anamaanisha Kansa ya kizazi cervical cancer inayotokana na kujamiina ovyo kisha mwanamke anaambukizwa HPV.
Hao virus wa HPV husababisha hiyo Kansa.
Mwanamke ana oza kule chini na kufa kikatili. Wanaume wengine wanapata uvimbe kwenye kichwa ya 'kiboroloni' hadi wachomwe mionzi n.k.
 
Naomba utupe taarifa sahihi ya hiyo sehemu ili tutoe taarifa sehemu husika wafuatilie hilo..

Kama ni kweli jambo hilo halikubaliki na wahusika wanatakiwa kuchukuliwa hatua haraka.
 
Tukikupa stori za mke wako na mambo take, unaweza kuzimia, ila mtaani anavaaga kistaarabu
 

Kama uliyoeleza ni kweli, hata shetani atakuwa anatushangaa!
 
Uongo bana uongo uongo uongo bana. Mwenye ile video aweke hapa.

Hata picha usipate mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…