Sodoma ipo hapa Dar, usiku huu nimeshuhudia mengi

Hao Malaya walishajikatia tamaa ya maisha.sjui Kwa Nini polisi wanawachekea Hawa wahuni kuwaweka mahabausu.
 
Aya mambo kadri yanavyo zoeleka ndivyo Taifa linaingia kwenye Laana.
Mamlaka husika zichuke hatua juu ya mambo yaliyo kinyume na maadili.

Itakapo kuja adhabu ya Mungu haita chagua uswahilini Wala ushuani.
Mamlaka zikifumbia macho upuuzi kama uo, Nazo mamlaka zitaku hazistahili kuwepo.

Binadamu kuji ingiza chupa ya bia sehemu za Siri hadharani kufuraisha watu, wakati uko tulipotoka mwanamke akiweka mpasuo kwenye nguo yake tulimuona hana adabu Ina maana tumefika mbali Sana kwenye uovu kama Taifa.
 
Kama uko maeneo ya keko basi hyo bar ni ya millennium
 
Tushasema sana ..... ila nahisi kama mfumo unapenda mambo haya yanavyofanyika,huu mziki sjui wasanii kibao kata,kanga moja serikali wanawaachiaa tu

Ova
 
Hao Malaya walishajikatia tamaa ya maisha.sjui Kwa Nini polisi wanawachekea Hawa wahuni kuwaweka mahabausu.
Polisi au jamii ndio inawachekea? Kwa uzoefu wangu jamii za ukanda huo haswa pwani ndio wana influence those things. Knowing direct kwamba ni chafu na zinazidi kukumominyoa maadili baut they dont care
 
Comrade kuna upcoming sin city inaitwa dodoma. Mji unakuja kwa kwasi sana and probably utaupita dar in no time kwenye hayo mambo ya hovyo

Jamii na viongozi inabidi waamke kukuemea hayo mambo
 
Sasa mkuu ulifurahia au hukufurahia? mana yote yaliyokua yanaendelea ado ulidindisha ukabaki uwanjani
 

Hivi huo uovu unazidi ufisadi wa serikali ya ccm na kuteka watu?
 
Khooo Na wewe ukabaki unaangalia Kwa Nini usingeondoka ili unapokuja kutuandikia huu Uzi tujifunze
 
Comrade kuna upcoming sin city inaitwa dodoma. Mji unakuja kwa kwasi sana and probably utaupita dar in no time kwenye hayo mambo ya hovyo

Jamii na viongozi inabidi waamke kukuemea hayo mambo
Minaona dar hapa ndio pameoza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…