Sodoma ipo hapa Dar, usiku huu nimeshuhudia mengi

Na kapicha kake uka-post tujionee!!
 
Comrade kuna upcoming sin city inaitwa dodoma. Mji unakuja kwa kwasi sana and probably utaupita dar in no time kwenye hayo mambo ya hovyo

Jamii na viongozi inabidi waamke kukuemea hayo mambo
Dodoma mbona unatuonea mkuu.. hata vigodoro tu Dodoma hakuna
 
Huku ughaibuni hayo ni mambo ya kawaida sana na kuna zaidi ya hayo uliyoyaona, tembea ujionee.
 
Kwa hiyo ungeitaji hiyo bar na sisi tukafanye kama huyo msela ungepungukiwa nin
 
Kwa kifupi wewe ndio una promote hiyo Sodoma
 
KWANI WEWE UWAJUI HAO NI CCM NA NYIMBO ZAO ZA ...CHAMA CHETU CHA MAVUZ** CHA JENGA UCHJI....NA ILE KAULI MBIU YA SA100 KUFUNGUA UCHJI ...ndiyo hayo sasa ccm ilipo tufikisha hijabu mashuleni zimesaidia nini mbona umalaya umeongezeka kuliko kipindi watoto awavai mahijabu ya muarabu na muisrael
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…