Sodoma ipo hapa Dar, usiku huu nimeshuhudia mengi

Kwa Dar hilo limekuwa jambo la kawaida imeshakuwa a new normal

Walianza mdogo mdogo

Walianza na ile anamwagiwa maji kwenye dera au kanga tako linakuwa tepetepe huku akimwaga uno

Wakaja na kujitia chupa za bia kwenye mikundu wakiwa wamevaa madera yaliyoloa

Wakaja na ile ya kufunua madera na kuonyesha chupi hadharani

Sasa hivi watu wanatombana live kabisa na video zinachukuliwa

Tunasubiri tuanze kuona hizi mambo kutoka mikoa mingine

Hivi Tanga wanakosa kweli hizi mambo?
 
Naomba utupe taarifa sahihi ya hiyo sehemu ili tutoe taarifa sehemu husika wafuatilie hilo..

Kama ni kweli jambo hilo halikubaliki na wahusika wanatakiwa kuchukuliwa hatua haraka.
Hili siyo swala la muungano lakini ni kero. Hebu kamati ilifuatilie.
 
Pole ndugu basi ushuhuda huu itoshe kuomba toba kwako mwenyewe na hao ndugu: kwa sababu Mungu alituumba kwa mfano wake halafu ss wanadamu tunamkubali shetani atufanye mbwa.Ndo maana Mungu kaifutilia mbali sodoma.Hili lisipokemwa litajenga utamaduni ambao itakuwa vigumu kuuondoa
 
video?
 
Hii Imeendaa!!
 
Cha mtoto hiyo kuna mahali kwenye jiji la kampala panaitwa best ukiingia mule ni zaidi ya kibao kata.Mungu atusamehe .
 
Mtoa mada mwenyewe bingwa lao, Comrade kipepe. Enzi zile za gazeti la sani, hii tungeiita chai/fix. Au tarehe 1. April
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…