Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Sipo kushindana hapa! Hata wewe unayo madhaifu ya kutosha ndio maana kila uchao unatubu!Jiongopeeni na hayo madisco
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipo kushindana hapa! Hata wewe unayo madhaifu ya kutosha ndio maana kila uchao unatubu!Jiongopeeni na hayo madisco
inabidi ushinde vyoteDunia ina vishawishi vingi sana
Hujasona maandiko.. Bibilia katika ufunuo inazungunzia watakatifu waliopo duniani..Unaamini kwenye hii dunia ya madhambi wapo watakatifu?. Wanakuwaje watakatifu. Unaelewa maana ya utakatifu?
Utapel wa kutisha yani toka zimeanzishwa Mara mwisho umefika mara siku yaja ,wanapita wanazaliwa wengine ngonjera ni zilezile .Dini ni UTAPELI
Tutachomwa kwa sulphur nasikiaSIKU ZA MWISHO ZITAKUWA NGUMU SANA kwani watu wamejihalalishia wizi kila pahala na huko makazini ndio usiseme; Mtu anamshara wa laki kadhaa ila anamiliki nyumba kadhaa nk eti kazi ina marupurupu!!!
Kwa kweli.Utapel wa kutisha yani toka zimeanzishwa Mara mwisho umefika mara siku yaja ,wanapita wanazaliwa wengine ngonjera ni zilezile .