Sofa bed ya mbao

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Sofa bed inafaa sana pale hali ya uchumi inapokuwa na changamoto na unalazimika kupanga chumba kimoja. Unaamka asubuhi unaangalia vitu vyote unavyomiliki. Kuna kitanda, jiko, ndoo ya kuogea na ndoo ya maji ya kupikia.

Kuna wale wanaosoma mchana anahitaji kuwa na meza ya kusomea na wengine hupata wageni kwa discussion. Wengine wanaishi chumba kimoja na wanafanya biashara, wateja wanafuata bidhaa nyumbani.

Mchana unatoa godoro unakunja kitanda na kuweka mito ya kukaa. Watu wanaotumia sofa bed wanaongezeka.
 
Hicho kitanda hakiwezi kuhimili uchakataji wa chubby moja lenye kilo zaidi ya 100
Maana yake hapo ukiamua unaweka mto tu unalalia cushions za kiti, ukipata mgeni ndiyo unakifungua chote.
 
Bei
 
Vipi mzee uliotea ajira msimu huu nini? maana siku hizi una comment kibosi.
Atakuwa amekosa huyu! Maana tangu ajira zilipotangazwa amekuwa mdogo kama pirton. Jeuri yote kwisha! 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…