sawa mkuuOkay, ngoja waje.
Okay, ngoja waje.
asante bossCustomized good, rangi na hizo gold Zina watu wake, kila la heri!
da! mkuuuLinafaa kweli kwa mambo yetu yale
Shida rangi hiyohii sofa ni balaa
inanesa nesa tu ina spring
yaan bado ina hata karatasi kwenye hizo gold
ni full white lether afu ngumu
ni L shaped na ina sehemu za kuchajia simu
bei yake mpya kabisa ni 650000 au 700000
mimi hii nimeitumia karibia mwezi mmoja tu
utaipata kwa 500,000
mahari
Dar es salaam
Piga simu
0683473391View attachment 3412452
usafi muhimu boss kwa kila rangiDah! Hiyo rangi inawahitaji watu wenye hulka ya kupenda usafi.
rangi inavumilika mkuuShida rangi hiyo
karibu sana bossZuri
Kwa mimi siliwezi aisee 😀😀Dah! Hiyo rangi inawahitaji watu wenye hulka ya kupenda usafi.