Manase fast courier
JF-Expert Member
- Mar 23, 2021
- 571
- 336
Kama umekalia hayawezi kuwa mapya kabisa. Hapo hujasema ukweli. Na pia kwa nini unauza?Nauza sofa yangu ya spring 1.1M.
Nimekalia miezi miwili na bado mpya kabisa napatikana Mwananyamala karibu na hospitali nipigie 0688115131
View attachment 2492652
View attachment 2492656
View attachment 2492657
\Nipigie 0688115131, mahali Mwananyamala karibu na hospitali
Ya spring mkuu?Mapya 2:2:1:1 ni 650k.
Used in good condition are you happy now??π€£π€£Umekalia miezi miwili halafu ni mapya?
Miezi miwili ni mingi sana kwa matumizi, mtoto anaweza kukojolea mara kadhaa, panya anaweza kuingia na kula godoro, linaweza kumwagiwa maji likavunda na kutoa harufu pia, unaweza cutoembea hapo hapo n.k,
Ukisema limetumika miezi miwili inatosha sana.
Used in good condition are you happy now??[emoji1787][emoji1787]
Bongo mtu ananunua gari lina umri zaidi ya miaka 10 halafu anasema nimenunua Gari mpya.Kama umekalia hayawezi kuwa mapya kabisa. Hapo hujasema ukweli. Na pia kwa nini unauza?
Bro biashara ya watanzania waachie wenyewe alitakiwa aseme yapo kwenye hali nzuri. Lakini kwenye picha yanaonekana yapo poa sana.Vitu viwili tofauti.
1. Limetumika lakini lipo kwenye hali nzuri.
2. Limetumika lakini ni jipya.
Mi huwa wananishangaza sana. Jamaa yangu mmoja tulibishana sana. Ananimbia amenunua Toyota Harrier mpya. Nikamwambia wewe maskini huna pesa ya kununulia Harrier Mpya. Tuligombana sana. Nikamwambia akinionesha gari yake mpya nampa milion 5 tuandikishane. Ila akikosa kunionesha mimi anilipe tsh 50,000 tu. Tukaenda kwake akanionesha Harrier yake imetembea kms 100,000 plus. Nikamuuliza hiyo ni mpya kivipi? Matanzania ni mabwege sana. Alinipa tsh 50,000 yangu.Bongo mtu ananunua gari lina umri zaidi ya miaka 10 halafu anasema nimenunua Gari mpya.
ππππ
Kitu kipya ni kile ambacho hakijawahi kutumika, Brand new.Mi huwa wananishangaza sana. Jamaa yangu mmoja tulibishana sana. Ananimbia amenunua Toyota Harrier mpya. Nikamwambia wewe maskini huna pesa ya kununulia Harrier Mpya. Tuligombana sana. Nikamwambia akinionesha gari yake mpya nampa milion 5 tuandikishane. Ila akikosa kunionesha mimi anilipe tsh 50,000 tu. Tukaenda kwake akanionesha Harrier yake imetembea kms 100,000 plus. Nikamuuliza hiyo ni mpya kivipi? Matanzania ni mabwege sana. Alinipa tsh 50,000 yangu.
Wao hawajui. Mtu mmoja aliniambia anauza Jaccuzi jipya huku analionesha lipo chooni. Nikamuuliza linakuwaje jipya na hali ameshalifunga. Akasema katumia siku 2 tu. Nikamwambia bado ni usedKitu kipya ni kile ambacho hakijawahi kutumika,Brand new.
Kitu kipya ni kile ambacho hakijawahi kutumika,Brand new.
Hiyo thd niliiona.Wao hawajui. Mtu mmoja aliniambia anauza Jaccuzi jipya huku analionesha lipo chooni. Nikamuuliza linakuwaje jipya na hali ameshalifunga. Akasema katumia siku 2 tu. Nikamwambia bado ni used
Kula chuma hicho!! 600k itapendeza MkuuNauza sofa yangu ya spring 1.1M.
Nimekalia miezi miwili na bado mpya kabisa napatikana Mwananyamala karibu na hospitali nipigie 0688115131
View attachment 2492652
View attachment 2492656
View attachment 2492657
\Nipigie 0688115131, mahali Mwananyamala karibu na hospitali
Rafiki yako ndiyo bwege Hakuna watu wanaitwa "matanzania ",wananchi wa Tanzania wanaitwa "watanzania ".Mi huwa wananishangaza sana. Jamaa yangu mmoja tulibishana sana. Ananimbia amenunua Toyota Harrier mpya. Nikamwambia wewe maskini huna pesa ya kununulia Harrier Mpya. Tuligombana sana. Nikamwambia akinionesha gari yake mpya nampa milion 5 tuandikishane. Ila akikosa kunionesha mimi anilipe tsh 50,000 tu. Tukaenda kwake akanionesha Harrier yake imetembea kms 100,000 plus. Nikamuuliza hiyo ni mpya kivipi? Matanzania ni mabwege sana. Alinipa tsh 50,000 yangu.
Matanzania .... Ma imetumika kama adjective ya kuonesha kiwango flani cha Ubaya. πRafiki yako ndiyo bwege Hakuna watu wanaitwa "matanzania ",wananchi wa Tanzania wanaitwa "watanzania ".
Nataka mojawapo hapo