INAUZWA Sofa set for sale 1.1m

INAUZWA Sofa set for sale 1.1m

Manase fast courier

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2021
Posts
571
Reaction score
336
Nauza sofa yangu ya spring 1.1M.

Nimekalia miezi miwili na bado mpya kabisa napatikana Mwananyamala karibu na hospitali nipigie 0688115131

d009247b-9e72-4be0-aba6-f455ca39e0bd.jpg

600ebc37-e3a4-4eaf-8c96-59bd684d4fca.jpg

2bc6eff6-549e-4388-a82b-ad62b1a51a2b.jpg

\Nipigie 0688115131, mahali Mwananyamala karibu na hospitali
 
Umekalia miezi miwili halafu ni mapya?

Miezi miwili ni mingi sana kwa matumizi, mtoto anaweza kukojolea mara kadhaa, panya anaweza kuingia na kula godoro, linaweza kumwagiwa maji likavunda na kutoa harufu pia, unaweza cutoembea hapo hapo n.k,

Ukisema limetumika miezi miwili inatosha sana.
 
Used in good condition are you happy now??🤣🤣
 
Bongo mtu ananunua gari lina umri zaidi ya miaka 10 halafu anasema nimenunua Gari mpya.

😀😀😀😀
Mi huwa wananishangaza sana. Jamaa yangu mmoja tulibishana sana. Ananimbia amenunua Toyota Harrier mpya. Nikamwambia wewe maskini huna pesa ya kununulia Harrier Mpya. Tuligombana sana. Nikamwambia akinionesha gari yake mpya nampa milion 5 tuandikishane. Ila akikosa kunionesha mimi anilipe tsh 50,000 tu. Tukaenda kwake akanionesha Harrier yake imetembea kms 100,000 plus. Nikamuuliza hiyo ni mpya kivipi? Matanzania ni mabwege sana. Alinipa tsh 50,000 yangu.
 
Kitu kipya ni kile ambacho hakijawahi kutumika, Brand new.
 
Mi huwa wananishangaza sana. Jamaa yangu mmoja tulibishana sana. Ananimbia amenunua Toyota Harrier mpya. Nikamwambia wewe maskini huna pesa ya kununulia Harrier Mpya. Tuligombana sana. Nikamwambia akinionesha gari yake mpya nampa milion 5 tuandikishane. Ila akikosa kunionesha mimi anilipe tsh 50,000 tu. Tukaenda kwake akanionesha Harrier yake imetembea kms 100,000 plus. Nikamuuliza hiyo ni mpya kivipi? Matanzania ni mabwege sana. Alinipa tsh 50,000 yangu.
Rafiki yako ndiyo bwege Hakuna watu wanaitwa "matanzania ",wananchi wa Tanzania wanaitwa "watanzania ".
 
Back
Top Bottom