jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Ipo 700k asubuhi nlipeNauza sofa yangu ya spring 1.1M.
Nimekalia miezi miwili na bado mpya kabisa napatikana Mwananyamala karibu na hospitali nipigie 0688115131
View attachment 2492652
View attachment 2492656
View attachment 2492657
\Nipigie 0688115131, mahali Mwananyamala karibu na hospitali
Wewe ndo muuzaji taja bei ya sofa moja ili tukubalianeofa yako ?
Ipo 700k asubuhi nlipe
Wewe ndo muuzaji taja bei ya sofa moja ili tukubaliane
Rejesta ndio shida. Kwa rejesta yetu ya mtaani na umasikini wetu. Gari mpya ni lile ambalo limetumika nje ya nchi hasa japan na ulaya. Ni vizuri kuzingatia rejesta za mahali husika la sivyo utakuwa huelewi au unabishana kila wakati.Mi huwa wananishangaza sana. Jamaa yangu mmoja tulibishana sana. Ananimbia amenunua Toyota Harrier mpya. Nikamwambia wewe maskini huna pesa ya kununulia Harrier Mpya. Tuligombana sana. Nikamwambia akinionesha gari yake mpya nampa milion 5 tuandikishane. Ila akikosa kunionesha mimi anilipe tsh 50,000 tu. Tukaenda kwake akanionesha Harrier yake imetembea kms 100,000 plus. Nikamuuliza hiyo ni mpya kivipi? Matanzania ni mabwege sana. Alinipa tsh 50,000 yangu.
Rejesta ndio shida. Kwa rejesta yetu ya mtaani na umasikini wetu. Gari mpya ni lile ambalo limetumika nje ya nchi hasa japan na ulaya. Ni vizuri kuzingatia rejesta za mahali husika la sivyo utakuwa huelewi au unabishana kila wakati.
Nimependaa tyuuh usafi hapo ndani, hongeraa sanaa.
Hee anaweza kufanyia nini hapo hapo?š nimechekaUmekalia miezi miwili halafu ni mapya?
Miezi miwili ni mingi sana kwa matumizi, mtoto anaweza kukojolea mara kadhaa, panya anaweza kuingia na kula godoro, linaweza kumwagiwa maji likavunda na kutoa harufu pia, unaweza cutoembea hapo hapo n.k,
Ukisema limetumika miezi miwili inatosha sana.
Nauza sofa yangu ya spring 1.1M.
Nimekalia miezi miwili na bado mpya kabisa napatikana Mwananyamala karibu na hospitali nipigie 0688115131
View attachment 2492652
View attachment 2492656
View attachment 2492657
\Nipigie 0688115131, mahali Mwananyamala karibu na hospitali
Hivi January bado haijaishaš„±