INAUZWA Sofa set for sale 1.1m

INAUZWA Sofa set for sale 1.1m

Mi huwa wananishangaza sana. Jamaa yangu mmoja tulibishana sana. Ananimbia amenunua Toyota Harrier mpya. Nikamwambia wewe maskini huna pesa ya kununulia Harrier Mpya. Tuligombana sana. Nikamwambia akinionesha gari yake mpya nampa milion 5 tuandikishane. Ila akikosa kunionesha mimi anilipe tsh 50,000 tu. Tukaenda kwake akanionesha Harrier yake imetembea kms 100,000 plus. Nikamuuliza hiyo ni mpya kivipi? Matanzania ni mabwege sana. Alinipa tsh 50,000 yangu.
Rejesta ndio shida. Kwa rejesta yetu ya mtaani na umasikini wetu. Gari mpya ni lile ambalo limetumika nje ya nchi hasa japan na ulaya. Ni vizuri kuzingatia rejesta za mahali husika la sivyo utakuwa huelewi au unabishana kila wakati.
 
asante mkuu...rejesta ni kitu muhimu sana kuelewa kabla ya kulipuka na kubisha
 
Umekalia miezi miwili halafu ni mapya?

Miezi miwili ni mingi sana kwa matumizi, mtoto anaweza kukojolea mara kadhaa, panya anaweza kuingia na kula godoro, linaweza kumwagiwa maji likavunda na kutoa harufu pia, unaweza cutoembea hapo hapo n.k,

Ukisema limetumika miezi miwili inatosha sana.
Hee anaweza kufanyia nini hapo hapo?😂 nimecheka
 
Back
Top Bottom