INAUZWA Sofa zinauzwa

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,079
Reaction score
2,152
La watu wawili linauzwa 160,000
Hilo single linauzwa 80,000

Toka kigamboni
Yako na hali nzuri kama unavyoona
__________________________________
Bango
 
Sababu ya kuyauza nina watoto wadogo nyumbani watundu nami nashinda kazini so nimeona usalama wa kochi ni mdogo
 
We jamaa unaweza kuuza hadi kitanda, TV, jiko, Nyumba ikabaki nyeupe kisa watoto..
Swali la kizushi: ungekuwa mgumba usingeuza hizo sofa.!?
Chief unazitaka hizo sofa?
 
Utaniletea nilipo au mpaka niyafuate huko kigamboni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…