Sofia Simba amtosa Hasna Mwilima

Sofia Simba amtosa Hasna Mwilima

Kutoka Tanzania Daima

...... Asha Bakari.Wengine ni Shamsa Mwangunga, Hawa Ghasia, Zainabu Mwamwindi, Furahia Abdallah, Fatuma Tawafiq, Lucy Mayenga, Lediana Mng'ong'o, Subira Mohamed na Zainabu Shomari.

.

Wala sishangai, mkuu hawezi kupinga uamuzi wa list hii, she just better agree to stay aside kuepusha shari. Mkuu hana ubavu wa kutengua uamuzi wao. They know his weakness.......!
Wote ni mazao ya ufisadi, ikiwa husna naye ni zao la mafisadi basi apambane nao, but ikiwa si zao la mafisadi, atafute kazi nyingine ya kufanya. I bet she is not ndiyo maana hao wote wameridhia kuondolewa kwake.

Damn!!!!!!!!!!!!!!
 
Kutoka Tanzania Daima

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wanawake ya CCM (UWT) ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Sofia Simba, amemsimamisha kazi Katibu wa jumuiya hiyo, Hasna Mwilima katika mazingira ya kutatanisha kwa madai kuwa ni maagizo kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete.


“Kweli kikao kilifanyika na kuamua kumfukuza kazi Hasna na mwenyekiti alisema lilikuwa ni agizo kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa CCM taifa,” alisema mmoja wa wajumbe hao.

Kwa mujibu wa habari hizo, barua ya kusimamishwa kazi kwa Hasna ilipelekwa nyumbani kwake na wajumbe wanne ambao ni Asha Bakari, Zainabu Mwamwindi, Furahia Abdallah na Subira Mohammed.

Habari zaidi zinasema kuwa mbali ya kumsimamisha kazi, kikao hicho pia kiliamua kumnyang’anya gari.


.

Jamani naomba ufafanuzi,
Ni kwamba Hasna amesimamishwa kazi au amefukuzwa kazi?
Au vyote?
Kama amefukuzwa au amesimamishwa kutokana na makosa ya kikazi mi naona
ni sawa na ni uamuzi wa kuigwa kwa viongozi wengine.
Ingawa Mh. Sofia Simba amefanya mambo kazaa ya kuboronga,
lakini kwa hili la kumuwajibisha mtendaji mzembe,
mi nampa big up bila kujali uozo wake wa siku za nyuma.
 
Mi sioni la kushangaza kwani SS kaweka wazi kila kitu kwamba kwa agizo la JKI anamfukuza kazi! Hivi mmesahu kwamba rais wa TZ hata akiota usiku umemuangalia kwa jicho baya anayo mamlka ya kuagiza utendewe jambo lolote?

Usikute hata SS hajui kosa la huyo katibu wake yeye katekleza agizo la bosi wake lol!
 
Hivi Umoja wa wanawake wa ccm unatusaidia nn sisi watz?
sielewi,................nitarudi
 
Sidhani kama SS ni kiongozi mzuri inaonekana uongozi wake ni wa visasi halafu mtu kama unajiamini kiuongozi huwezi kusema nimetumwa na fulani ufukuzwe kazi sema kutokana na a b c d unaonekana hauko fit sasa kusema nimetumwa it is a weakness kama SS hakuwa na ubavu wa kumfukuza Husna na amri ilitoka kwa JK kile kikao walichokaa kilikuwa cha nini umbeya au
 
Waungwana naombeni msaada, mkuu wa wilaya ni mwajiriwa wa serikali, anahamishwa kutoka mwajiriwa wa serikali kwenda kuwa mwajiriwa wa chama huo uhamisho unakuwaje? Au anastaafu utumishi wa serikali kwanza?
 
Jameni SS ni succesor wa EL AICC unategemea nini hapo. ZINDUKA Ufisadi ...ubaliki teh teh teh teh
 
mtajijuuuuuuuuuuuuuuuuu................................

hao ndo viongozi tunaowataka. na hilo fungate lenu na akina mwilima kwisha habari yake............................. JK 2010, SS 2015.........................................................

msimu wa watoto wa mjini ati.......................... nyie wa kuja sijuo toka makongorosi...................... subirini hukohuko mpaka mtakapoangukiwa na milima.......................... hheheheeeeeeeeeeeeeeeeee raaaaaha kwelikweli................

maisha bora kwa kila mtanzania hayooooooooooooooooo mlangoni, anayebisha na afungue aone.............................
 
Kutoka Tanzania Daima


Mbali ya Waziri Simba, wajumbe wengine waliohudhuria kikao hicho na kuridhia uamuzi huo ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa UWT, Asha Bakari.

Wengine ni Shamsa Mwangunga, Hawa Ghasia, Zainabu Mwamwindi, Furahia Abdallah, Fatuma Tawafiq, Lucy Mayenga, Lediana Mng’ong’o, Subira Mohamed na Zainabu Shomari.

Mungu wangu!
Dada wa watu aliandamwa sana. Kwa orodha hiyo ya mawaziri na Wabunge isingekuwa rahisi kwa katibu wa UWT kutoka salama. Hii habari tulishaiongelea sana mwaka jana hapa JF, nitatafuta thread hiyo hivi punde.
 
hivi hiki chama ni chama cha wanawake wa CCM ambao ni waislamu..

uongozi mzima ni wa dini moja...inawezekana ikawa ni tatizo la ugomvi wao..mipasho tu
 
hivi hiki chama ni chama cha wanawake wa CCM ambao ni waislamu..

uongozi mzima ni wa dini moja...inawezekana ikawa ni tatizo la ugomvi wao..mipasho tu
Just asking the same question! Ni kama umekuwa kwenye mawazo yangu muda wote kabla sijasoma post yako.
Nachelea nisijeitwa mdini!
 
hivi hiki chama ni chama cha wanawake wa CCM ambao ni waislamu..

uongozi mzima ni wa dini moja...inawezekana ikawa ni tatizo la ugomvi wao..mipasho tu

No wonder CCM is damned. I was thinking the same, sasa kwa mchanganyo huo mweke na Makamba ndani, hiyo pilau inalika?......!!!!!!!!!!!?????? !!!!!!

 
pole hasna mwilima. lakini nasikia na wewe ni kafisadi fulani umekula hela nyingi za wakima mama hapo uwt. na vile vile elimu yako ni darasa la saba tu.
 
Back
Top Bottom