Sofiane Boufal awaomba msamaha wa Africa

Waende wakachezee kichapo kwa ureno tu hata sisi waafrika tunawaona wao waarabu tu.
 
Kwa kuwa ameomba msamaha mimi mbigirikavu naupokea kwa moyo mmoja.
Neno samahani ni neno kubwa sana. Sio kila mtu anaweza kutamka.
Uhakika wote tuliopitiwa na mipaka ndani ya bara la Afrika ni waafrika.

Rangi ni mapambo tu ya dunia. Wasingekubali kucheza na waafrika kama wao ni waarabu.

Waafrika tungejivunia timu ya ufaransa kwa kuwa ni weusi kama waafrika. Lakini hawatuhusu kama wanavyotuhusu wamorocco.
Wafaransa sio waafrika.

Kwa hiyo rangi is nothing.
Ndiyo ni waarabu lakini sio waasia. Ni waafrika.
 
Kauli ni mbaya sana, inaweza kutoka kwenye michezo ikaenda kuwa ya kisiasa na hapo ndo balaa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…