Sofiane Boufal awaomba msamaha wa Africa

Hii ni baada ya siku chache pale nchini Qatar katika mechi ya mtoano hatua ya 16 Bora morroco walipo fanikiwa kuwaondoa spain.

Sofiane Alisema ushindi huu ni kwa Waaarabu wote na Morroco.

View attachment 2439761
Ujinga, umbumbumbu, unafiki, na upopoma tu ndiyo unao wasumbua. Wamepata hiyo nafasi kupitia Bara la Afrika, halafu leo wakawapongeze Waarabu wenzao!!

Si wajitoe sasa CAF na kuhamia huko Uarabuni!!
 
Samahani yao haisaidii kitu.... Wao si waarab wabaki hapo
 
Duuh kumbe ile kauli ilikuwa kweli? Bas hawa Jamaa bado primitive Sana anashindwa kuelewa kitu kidgo kama hicho.

Mtu aliyestaraabika huwez Kuta anaongekea udini katika michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…