msagara halisi
Member
- Jul 25, 2018
- 6
- 9
Habar Wana JF,
Mimi ni IT expert, Nimetengeneza Program inaitwa MKOPO APP maalum Kwa wajasiliamali wenye taaisis za kukopesha
Mkopo App hii ni Program ambayo inarahisisha kaz mbalimbali zinazofanywa na taaisis ndogondogo za utoaji mkopo.
Program hii itakuwezesha kutunza taarifa za wanachama na kutunza taarifa za fedha na michango yote ya kila siku pamoja na mikopo na marejesho
Ukiwa na MKOPO APP itakuwezesha kusajili wanachama wapya (Wateja),kusajili mikopo mipya,kurecod marejesho,kutengeneza report na inaandaa mahesabu ya kiasi kilichopo kilichoingia na kiasi kilichotoka
Ili uweze kutumia program hii unatakiwa kuwa na kompyuta
Ahsanten