Software of tuki dictionary

Software of tuki dictionary

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
ndugu zangu naomba kuuliza kama naweza kupata kamusi ya TUKI ambayo ipo kwenye mfumo wa software.
 
asante ndugu, ila nimejaribu kufungua hii link lakini imekataa.

Shida yako itakuwa ni kivinjari unachotumia, jaribu tofauti vinginevyo hili faili linapakulika kirahisi kabisa
 
Mi nahitaji kamuc ya Tuki kisw kwa kisw. Mwenye software yake avinjari hapa.
 
Back
Top Bottom