software ya kublock new numbers call

software ya kublock new numbers call

gentlemanx

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
2,375
Reaction score
7,217
Wakuu habari zenu
Hivi kuna software ambayo inaweza kublock new numbers??yani kublock namba mpya ambayo hujaisave??
 
Sasa mkuu je ukitafutwa kwa jambo la dili na namba ambayo hauja save huoni utapoteza malengo makubwa
Kuna watu wasumbufu hawachoki kupiga ,naiblock kwa muda tu
 
nahis umetangaza dili nzur na ukaweka namba watu wanakupgia ili wapate hlo dil kumbe ww huna,,,..imewah kunitokea hyo,,,
okey pole! juxt jarbu call blocker hii inablock all new numbers, also kuna true caller hii unachagua namba ya kublock
 
Mods hii thread iende jukwaa husika. Hapa Jf doctor si mahali pake.
 
nahis umetangaza dili nzur na ukaweka namba watu wanakupgia ili wapate hlo dil kumbe ww huna,,,..imewah kunitokea hyo,,,
okey pole! juxt jarbu call blocker hii inablock all new numbers, also kuna true caller hii unachagua namba ya kublock
HAaha mkuu me sio mtu wa hivyo,siwezi nikatangaza dili then nisiwe nalo
 
Back
Top Bottom