Nakumbuka tulikuwa high na ilikuwa inanyongwa nyingine, bapa moja chali na lilikuwa limeagizwa lingine na maji kubwa, na tukiwa high tunautazama ulimwengu kwa chini. Soga za hapa na pale ila hii ilinivuta shati
Ili upate kumtawala mtu unamtengenezea uwoga. Mfano waliotuambia kuhusu jehanamu. Tukiwa mbali nao wanasema huko ndipo patakuwa nyumbani.
Mzungumzaji akainua glass